Hizi hapa ni baadhi ya tabia 10 zinazoharibu figo:
- Kubana mkojo kwa muda mrefu
- Kutokunywa maji ya kutosha
- Kutumia chumvi nyingi
- Kula nyama mara nyingi zaidi
- Kutokula chakula cha kutosha
- Kuchelewa kujitibu maambukizi madogomadogo
- Kutumia visivyo dawa za maumivu
- Utumiaji wa madawa kwa ajili ya Insulin
- Kunywa pombe kupita kiasi
- Kutopata muda wa kutosha kupumzika
EmoticonEmoticon