Mwanadada Irene Uwoya anakuja na kipindi chake cha TV kitakachukuwa kikirushwa na kituo cha luninga cha Clouds TV .
Kipindi hiki kipya na
cha aina yake kitawawezesha watu
mbalimbali kupata nafasi ya kurekebishiwa nyumba zilizotembelewa na
mwanadada huyu ili kuzifanya bora na za kisasa zao kupitia kipindi
hicho.
Katika ujumbe wa picha alioutoa leo kupitia akaunti yake ya mtandao mmoja wa kijamii Irene aliandika
“Clouds tv...kipind changu kipya kinahusu nyumba
natengeneza na kukarabat nyumba...plz nipen support tuwasaidie
watanzania wenzetu”
Kipindi hiki kitaanza kuwa kitakuwa hewani hivi karibuni
EmoticonEmoticon