Mwanamke akamatwa akinyonyesha paka 26

 

 
cats-feeding-500-300x225
Mwanamke wa miaka 48 katika jiji la Harare nchini Zimbabwe kwa jina la Kuwadzana amekamatwa na polisi baada ya jirani yake kutoa taarifa kwamba mwanamke huyo ananyonyesha paka 26 na kufanya vitendo vingine vya kushirikina.
Previous
Next Post »