Mgombea wa Ubunge anaekubalika na wananchi
wa Masasi kupitia Mwamvuli wa Chama cha Wananchi CUF, Ismail Makombe
(Maarufu Kundambada), akizungumza machache na wananchi hao
waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Dkt.
Emmanuel Makaidi akiwa ameambatana na Mkewe, wakiwasalimia wananchi wa
Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara leo Septemba 22, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akizungumza jambo na Mke wa Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel
Makaidi (kulia), Mama Modesta Makaidi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Sehemu ya Umati wa Wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara, waliofikia
kusikiliza sera zake katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Lowassa akiwasili uwanjani hapo.
EmoticonEmoticon