Aliekuwa
Mbunge wa Kikwajuni anaetetea nafasi yake Hamad Masauni akiteta jambo na
Mwenyekitiwa wa Jumuiya ya watanzania wasio na ajira Ussi Said Suleiman
wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo vijana
juu ya mbinu za bishara, katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi la
zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mkufunzi
wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana juu ya mbinu za bishara Abel
Kipapi kutoka Kampuni ya Soft Trainers LTD ya Daresalamu akijitambulisha
kwa washiriki kabla ya kuanza mafunzo.
Mgeni
Rasmin aliekuwa Mbunge wa Kikwajuni anaetetea nafasi yake Hamad Masauni
akifungua mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo vijana juu ya mbinu
za bishara, katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi la zamani Kikwajuni
Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakimskiliza mgeni rasmin Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo hayo.
EmoticonEmoticon