Mtoto wa mr Blue na mama yake
Mtoto wa Roma mkatoliki IVAN
Mtoto wa msanii wa R&B hapa bongo Rama D aliyezaa na mchumba wake ambaye ni Mzungu raia wa Australia
Anaitwa Joyce mtoto wake Shilole
Mtoto wa Barnaba huyo anaitwa Steve
Gelly wa Rhymes na Mwanae anayeenda kwa jina la Queen
Anaitwa Michele wa Mike T
Malika wa MwanaFA
Binamu na mwanae
Madee na mwanae
Huyo ni mtoto wa Raisi wa Manzese,Madee anaitwa Sophy
Huyu ni mtoto wa Allan Lucky wa Skonga EATV, anaitwa Brooklyn.
Mtoto wa sugu Sasha -Desderi.
2 comments
Write commentsWatoto wazuri Lucy.. Wa madee copy paste dad'ake
ReplyHa ha ha wakike wengi sana duh inabidi wafuge mbwa mapema
ReplyEmoticonEmoticon