Mwakilishi wa jimbo la magomeni, Zanzibar Mh Salmin Awadh Salmin Afariki dunia.


Aliyekuwa mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Zanzibar Mh. Salmin Awadh Salmin ambaye amefariki dunia hii leo. Taarifa zinaeleza kuwa Salmin amefariki wakati akiwa kwenye kikao cha CCM Zanzibar. Salmin pia alikuwa mnadhimu mkuu wa baraza la mapinduzi na mjumbe wa kamati kuu wa chama cha mapinduzi.
Kwa undani zaidi wa kifo chake endelea kufuatiliamtandao huu.
Previous
Next Post »