Mtoto Albino akutwa ameuwawa kikatili Samahani hatutaweza kuweka picha hapa.



10
Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo pichani.(Picha na Maktaba)
Mwili wa mtoto wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyeporwa mikononi mwa mama yake juzi Mkoani Geita, umekutwa jana jioni ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na kufukiwa ardhini kwenye hifadhi ya msitu wa Biharamulo, Wilayani Chato.
Imethibitishwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Previous
Next Post »