WAFANYA BIASHARA WAGOMA K'KOO




Taarifa zilizotufikia hivi sasa ni kwamba wafanya biashara wa kariakoo wamegoma baada ya mwenyekiti wao Johnson Minja kukatatwa,sababu za kukamatwa kwa mwenyekiti huyo bado hazjajulikana.

wafanya biashara waliogoma ni husanini wenye maduka ya Nguo na Spea,mitaa yote ya Congo,Sikukuu na Swahili,sababu za kukamatwa kwa mwenyekiti huyo inadaiwa Ni uchochozi wa kuwataka wafanyabiashara kuacha kutumia machine za Efds
Previous
Next Post »