BUNGE LATARAJIWA KUANZA KESHO JUMANNE

 
 Mkutano wa kumi na nane wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza jumanne hii ambapo pamoja na mambo mengine mkutano huo utajadili taarifa za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, taarifa za kamati za kudumu za bunge huku miswada mitatu nayo ikitarajiwa kusomwa na kupitishwa na mkutano huo.
Previous
Next Post »