MADUKA ZAIDI YA 20 YABOMOLEWA MITAA YA MSASANI JIJINI DAR




 Meneja biashara wa kampuni ya MEM AUCTIONEERS AND GENERAL BROKERS LTD akizungumza na waandishi wete eneo la tuki na kuelezea jinsi wanavyotekeleza amri ya mahakama.

 Hii ndiyo hati ya amri ya mahakama iliyotolewa kwa ajili ya kuwahamisha wapangaji hao
 Mfanyabishara Moses akijaribu kuokoa vitu vyake bila mafanikio.
 




Previous
Next Post »