FAIDA ZA KITUNGU SWAUMU:


1.Kiua sumu mwilini
2.Kisafisha tumbo
3. Kiyeyusha mafuta(cholestro)
4. Kusafisha njia ya mkojo
5. Kutibu amoeba
6. Kuzuia kuhara damu(Dysentery)
7. Gesi tumboni
8.Msokoto wa tumbo
9.Typhoid
10.Mabaka kwenye ngozi
11. Mafua
12.Kifua kikuu cha mapafu
13.Kipindupindu
14.Kutoa minyoo
15.Upele
16.Kuvunjavunja mawe katika figo
17.Mba kichwani
18.Kuupa nguvu ubongo
19.Kuzuia meno kung'ooka na kutuliza maumivu
20.Nguvu za kiume
21.Maumivu ya kichwa
22. Kizunguzungu/kisunzi
23. Shinikizo la damu
24. Saratani (cancer)
Pia jitahidi kula japo punje moja ya Kitungu
swaumu kwa siku, hukukinga na magonjwa mengi.
SHARE na marafiki!
Previous
Next Post »