
Shimo hatarishi mfano wa handaki linaendelea kuchimbika mbele ya kituo cha daladala cha bakresa kariakoo jijini Dar es salaam ambalo ni kero kwa watumiaji wa barabara hiyo ambayo imewafanya baadhi ya wananchi kuiomba serikali na mamlaka husika kuchukua tahadhari kabla madhara zaidi hayajatokea.
EmoticonEmoticon