Mkutano wa umoja wa katiba ya wananchi-Ukawa- uliozuiliwa na jeshi la polisi mara mbili umefanyika leo katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Zanzibar huku viongozi wakuu wa vyama vitano vya upinzani wakihudhuria na kuhutubia.
Mkutano huo ulihudhuriwa na mamia ya wanachama,wapenzi na waanchi kwa mara ya kwanza kushuhudia mkutano wa kisiasa ukihutuiwa na viongozi wakuunamaktibu wa vyama vitano vikuu vya upinzani ambapo katibu mkuu wa chamacha waanchi cuf maalim seif sharrif hamadi ambaye alikuwa mwenyeji wa mkutano huo alitamka kuinga mkono ukawa wa kwanza kuanika nguvu zake za kudai serikali tatu alikuwa mwenyekiti wa chama cha nldmhe emamanuel makaidi ambaye alisema tanganyika lazima ipatikane
Na ndipo wakafuatiwa na wenyeviti wa nccr mageuzi james mbatia ambaye alifafanua kuhusu rasimu hiyo na utaratibu wake huku mwneyekiti wa chadema mhe freman mbow e kwa upandewake ametangaza rasmi kwa kuwa umoja mpya wa vyama vyasiasa kuleljkeauchaguzimkuu ,na mwisho alikuwa mwnyekiti wa cuf professa ibarimilipumba ambayealiichanua rasimu hiyo na kuwapinga wnaiopigiadebe seriklai mbili.
Huu nimkutano mkubwa na wa kwanza kufanyika hapaz anzibar kuhuus rasimu na bungelake ambapo umoja huo sasa unaelekea kiiswani pemba kwa kazi hiyo.
EmoticonEmoticon