MSIKILIZRTAZAMA VIDEO WARIOBA KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 AKIZUNGUMZIA PIA KUHUSU MCHAKATO WA UUNDWAJI WA KATIBA MPYA




Kama ulikosa kuangalia kipindi hiki, ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba aliongelea mambo mengi sana kuhusu mchakato wa uundwaji wa katiba mpya. ITV imekuwekea kipindi hiki chote, pata muda ukiangalie na ujipange kuangalia sehemu ya pili ya mahojiano haya yatakayo kujia siku ya jumatatu
Previous
Next Post »