KINACHOENDELEA SASA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA





Wajumbe wa bunge la katiba wanaendelea na uchaguzi wa kumpata makamu mwenyekiti atakaye ongoza bunge hili wanaochuana ni Bi. Samia Suluh Hassan na Amina Abdala Amor nani ataibuka  kidedea endelea kufuatilia blog hii.
Previous
Next Post »