Ndizi ni aina ya tunda linalopendwa na watu wengi yawezekana huwa unakula tunda hili bila kujua faida zake, lakini pia yawezekana wewe hupendi kabisa kula ndizi mbivu, lakini ni vyema kufahamu kuwa tunda hili ni muhimu sana kwa afya yako inasaidia kama wewe hujapatwa na vidonda vya tumbo, kwa kula ndizi mara kwa mara unajipa kinga madhubuti na kama tayari umeathirika na vidonda, kwa kula ndizi utajipa ahueni kubwa. |
EmoticonEmoticon