Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akiwa katika Picha ya Pamoja na familia ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia  ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa Waziri huyo, Bertha  Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri , Nyasige Sospeter  (kushoto) na  Bertha Kimariyo .


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo(kulia) na mkewe, Bertha Mamuya (kushoto) baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge  Mjini Dodoma, Mei 30, 2014.Wengine ni   Mabinti wa Waziri huyo,Bertha Kimariyo (wapili kushoto) na Nyasige Peter.Picha na ofisi ya Waziri Mkuu
Previous
Next Post »