KAMANDA
WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED. Z. MSANGI – SACP ANAWATANGAZIA
WAANDISHI WOTE WA HABARI TOKA MEDIA MBALIMBALI KUWA JUMATATU YA TAREHE 06.01.2014
MAJIRA YA SAA 10:30HRS ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO OFISINI KWAKE ATAKUWA NA PRESS CONFERENCE IKIWA NA LENGO LA KUTOA TATHMINI/TAKWIMU YA HALI
YA UHALIFU KWA MKOA WA MBEYA KWA KIPINDI CHA MWAKA, 2014 UKILINGANISHA NA
KIPINDI KAMA HICHO KWA MWAKA, 2013 PAMOJA NA KUJITAMBULISHA KWA WAANDISHI WA
HABARI WA MKOA WA MBEYA MARA BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA KAMANDA WA POLISI MKOA
WA MBEYA. HIVYO NI FURSA KWA WAANDISHI WOTE KUFIKA, KUPATA TATHMINI HIYO, NA
KUJUA MALENGO/ MUONO MBELE WA JESHI LA POLISI KWA MWAKA HUU, 2014 KATIKA KUZUIA
NA KUPAMBANA NA UHALIFU/WAHALIFU.
IMETOLEWA
NA:
[AHMED.
Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA
WA POLISI MKOA WA MBEYA.
EmoticonEmoticon