Uruguay imekuwa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha uuzaji na utengenezaji wa bangi. Bunge la nchi hiyo limeupitisha muswada unahalalisha bangi kwa kura 16 kwa 13 jana jioni.
Chini ya sheria hiyo mpya, bei ya gram moja ya bangi itakuwa ni dola 1 tofauti $1.40 kwenye soko haramu. Uuzaji na utengenezaji wa bangi utaratibiwa na mamlaka itakayowekwa na serikali itakayoangalia database ya wananchi wenye umri unaoruhusiwa kutumia bangi.
EmoticonEmoticon