Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki ametangaza kujiuzulu nafasi yake kutokana na tuhuma mbali mbali za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizofanywa na kikosi cha kupambana na ujangili nchini .
Waziri huyo ametangaza azma hiyo dakika tano zilizopita bungeni mjini Dodoma baada ya kupewa nafasi na spika wa bunge Anne Makinda kuzungumza bungeni katika mjadala unaoendelea kufuatia ripoti ya mbunge Lembeli
EmoticonEmoticon