Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP)
Liberatus Barlow ameuawa usiku wa kuamkia leo katika tukio
linalohusishwa na ujambazi.
Taarifa kutoka Mwanza ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha
dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon