Jengo
la amani na usalama lililopo makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Mjini
Addis Ababa nchini Ethiopia jana tarehe 29 Januari, 2017 limetangazwa
rasmi kuwa litaitwa Mwalimu Julius Nyerere.
Rais Magufuli alipewa heshima ya kutangaza rasmi kuanza kufanya kazi kwa jengo
EmoticonEmoticon