Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa Antonio Manuel Olveira Guterres wakati alipokuwa kwenye mojawapo ya
vikao vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyofanyika katika Makao makuu yake mjini
Addis Ababa nchini Ethipia. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta wakati alipokuwa kwenye mojawapo ya vikao vya Umoja wa Afrika (AU)
vinavyofanyika katika Makao makuu yake mjini Addis Ababa nchini Ethipia. PICHA
NA IKULU
KONA YA JAMII
NEWS
RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA KIKAO CHA UMOJA WA AFRIKA (AU) MJINI ADDIS ABABA ETHIOPIA
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon