Treni
ya abiria ya EXPRESS ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam leo January
29 2017 imepata ajali maeneo ya Ruvu ndani ya mkoa wa Pwani ikiwa ni
kilometa kadhaa kabla ya kufika kwenye jiji la Dar es salaam.
Shuhuda
ambaye alikua ndani ya Treni hiyo amesema Behewa zaidi ya 10
zimepinduka na watu wanaendelea kuokolewa kwa kupitia Madirishani.
EmoticonEmoticon