Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akisaini kitabu
cha wageni alipowasili Ofisi ya mkoa wa Pwani kukagua utendaji wa kazi
kuzungumza na wananchi pia kusikiliza malalamiko na kero zao kuhusu
maswala ya ardhi alipokuwa kwenye ziara ya kikazi katika Wilaya ya
Kibaha jana.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akikagua mafaili
ya hati za ardhi za wananchi yanayodaiwa kukaa kwenye shelvu kwa zaidi
ya miaka mitatu pasipo kufikishwa kwa wahusika. Anayempa maelezo ni
Afisa Ardhi Mteule, Majaliwa Jaffari.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akikagua mafaili
ya hati za ardhi za wananchi yanayodaiwa kukaa kwenye shelvu kwa zaidi
ya miaka mitatu pasipo kufikishwa kwa wahusika. Anayempa maelezo ni
Afisa Ardhi Mteule, Majaliwa Jaffari.
Wantedanji na viongozi wakimsikiliza Waziri Lukuvi.
Mkuu
wa Wilaya ya Kibaha, Bi. Halima Kiemba akimsomea muhtasari Waziri wakati
wa kikao na viongozi pamoja na watendaji wa wilaya hiyo Mkoa wa Pwani
jana. Kutoka (kulia) ni Mkubge wa Kibaha, Mhe. Koka Foka na Katibu
Tawala wa Mkoa huo, Mgeni Bauani.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akiongea na
wafanyakazi na watendaji wa Halmashauri ya Kibaha pamoja katika kikao
nao kabla kuzungumza na wananchi na kusikiliza malalamiko na kero zao
kuhusu maswala ya ardhi alipokuwa kwenye ziara ya kikazi katika Wilaya
ya Kibaha Mkoa wa Pwani jana.
Waziri
Lukuvi akielekeza jambo alipotembelea eneo la Stendi ya mabasi eneo la
Kibaha Maili moja na kujadili namna ya kufanikisha mradi wa ujenzi wa
kituo hicho. Kushoto ni Mbunge wa Kibaha, Mhe. Koka Foka na Mkuu wa
Wilaya hiyo Halima Kiemba.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akisikiliza kero
za Bi. Zena Shabani kabla kupokea vielelezo vya malalamiko na kero za
kuzulumiwa ardhi yenye hekari 50 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa, Nehemiah Mchechu kutoka kwa Zena Shaban (85) alipokuwa
katika ziara ya kikazi kusikiliza malalamiko ya wananchi Kibaha Mkoa wa
Pwani jana.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akipokea
vielelezo vya malalamiko na kero za kuzulumiwa ardhi yenye hekari 50 kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemiah Mchechu kutoka
kwa Zena Shaban (85) alipokuwa katika ziara ya kikazi kusikiliza
malalamiko ya wananchi Kibaha Mkoa wa Pwani jana.
Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano huo akitoa kero zake kwa Waziri.
EmoticonEmoticon