Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikagua gwaride la Vikosi vya Ulinzi liliandaliwa rasmi katika kilele
cha sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika
leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi wakati wa kilele cha
sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.salim Ahmed Salim wakati wa kilele cha sherehe za miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli wakati wa kilele cha sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Devis
Mwamunyange alipowasili katika kilele cha sherehe za miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja akiwa mgeni rasmi katika sherehe hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein mara alipowasili katika
kilele cha sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika kilele cha sherehe za
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika
Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiteta na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli wakati wa kilele cha sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Unguja.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa
Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo katika killele cha sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika katika
uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Pichani
kutoka kushoto Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Makamo wa Pili wa Rais Balozi
Seif Ali Iddi na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis
Mwamunyange wakiwa katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
zilizofanyika leo.
Baadhi
ya Wananchi na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika leo
katika Uwanja wa Amaani Studium Mjini Unguja.
Waziri
Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar
Omar Othman Makungu wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja katika Kilele cha sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
kutimia miaka 52,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange
katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia
miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium zilizofanyika leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika kilele cha
Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja
wa Amaan Studium zilizofanyika leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika kilele cha Sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan
Studium leo akiwa katika gari maalum.

akiteremka katika gari maalum alilopanda wakati akiwasalimia wananchi
katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia
miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium leo.
Baadhi ya Maafisa mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi na Taasisi za Serikali wakiwa katika sherehe za kilele cha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakibeba Picha la Marehemu Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Karume wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini wakibeba mabango yenye ujumbe tofauti kama yanavyoonekana wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakinyanyua mikono juu kusherehekea sherehe za miaka 52 wakati wa kilele cha sherehe hizo zilizofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Vijana wa Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini wakipita mbele kwa heshma akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazni Unguja wakibeba mabango yenye ujumbe tofauti kama yanavyoonekana wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu, Zanzibar.]
EmoticonEmoticon