Meli ya royal ilikuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba hivi sasa inaungua, kwa Bahati Meli ya Serengeti ilikuwa inatokea Pemba kwenda unguja imeikuta njiani hivyo shughuli za uzimaji moto na uokozi Wa abiria na Mali zao inafanyika. Source: call from baharia ndani ya serengeti
EmoticonEmoticon