Alozie anadaiwa kutenda kosa hilo tarehe 15 May mwaka huu, huku akitumia pasi kutenda kitendo hicho cha kinyama.
Kabla ya kutoa hukumu, Hakimu alisema kuwa mwanadada huyo alimuunguza mwenzi wake wakati ‘wakihondomola’ amri ya sita.
Alozie amepatikana na hatia hiyo jana na amehukumiwa kutumikia athabu ya kifungo cha mika 9 Jela.
EmoticonEmoticon