Ajali imetokea Tunduma, hapa mkoani Mbeya maeneo ya Sogea katika
matuta ya Shule ya Msingi Maporomoko ambapo imehusisha magari matatu
yaani Coaster ya abiria iliyokuwa ikitokea Mbeya mjini kwenda Tunduma mjini,na Lori la Mafuta na Canter yakitokea Tunduma Ajali hiyo imetokea baada ya lori la mafuta kutaka kuwakwepa madereva wa Bajaji na Baiskeli.
Abiria mmoja aliyeruka kutoka kwenye Coaster aliangukiwa na Lori,dereva
wa Coaster amejeruhiwa sana,abiria wengine wamepata maumivu ya hapa na
pale
EmoticonEmoticon