ajali imetokea leo December 18 2015
maeneo ya Kilolo Iringa
Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi
limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa,
mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na
kuligonga basi hilo.
Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa limetokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma, na lori la mbao lilitoka Njombe kuelekea Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon