Rais Dk.John Magufuli amuapisha George Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kuanza kazi leo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akila kiapo cha mbele ya Rais Dk.John Magufuli Mapema Leo.
George masaju ameanza kazi rasmi kama mwanasheria mkuu wa serikali baada ya kuapishwa leo jijini Dar es Salaam kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya awamu ya tano kufuatia kuteuliwa kwake hapo jana na rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Dokta.John Pombe Magufuli

Uapishwaji huo wa masaju ambaye alikua pia mwanasheria mkuu wa srikali katika serikali iliyopita ya awamu ya nne unaelezwa kufanyika ikulu mapema leo majira ya saa tatu asubuhi.
Previous
Next Post »