|
Mgurugenzi
Kissa Pharmacy Ltd Ndugu Gaspar Kilango Singo akizungumza na
wafanyakazi wake katika sherehe hiyo iliyofanyika kijijini kwao Mnazi
Makanya Wilayani Same Moshi Kilimanjaro |
|
· Wafanyakazi Kissa
Pharmacy Ltd Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz wenye
makao makuu jijini mbeya wakiserebuka katika sherehe ya wafanyakazi
iliyoandaliwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ndugu Gasper Kilango Singo
kijijini kwao Mnazi Makanya Kilimanjaro Moshi
|
|
Ndugu na jamaa wa familia ya Kilango wakijumika pamoja katika sherehe hiyo. |
|
Wazazi wa Mkurugenzi Kissa Pharmacy Ltd |
Picha- Emanuel Madafa Jamiimojablog, Mbeya
EmoticonEmoticon