Edward Lowassa Kutikisa Dar es Salaam Leo Oktoba 01, 2015

TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA LEO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA

1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers.
Previous
Next Post »