
Kutokana
na sababu zilizo nje ya uwezo wa TFF, Twiga Stars haikuondoka leo
kuelekea nchini Congo – Brazzavile, Shirikisho bado linasubiri mwongozo
wa Wizara ya Habari,Viajana, Utamaduni na Michezo.
Imani
ya TFF ni kuwa timu itasafiri na kuwahi mechi ili kuepuka hatari ya
kuadhibiwa na CAF ikiwa ni pamoja nan a kulipishwa fainai au kuondolewa
kwenye michuano hiyo.
Mchezo
wa kwanza wa Twiga Stars katika michuano hiyo utakua dhidi ya Ivory
Coast tarehe 6, Septemba, mchezo wa pili dhidi ya Nigeria Septemba 9 na
mchezo wa mwisho katika kundi hilo utakua dhidi ya Congo-Brazzavile
Septemba 12, 2015.
Timu mbili kutoka kundi A zitaungana na timu mbili nyingine kutoka kundi B kucheza hatua ya nusu fainali.
EmoticonEmoticon