Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, DR.
Wilbroad Slaa katika mazishi ya babamkwe wake yaliyofanyika kwenye
Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.. Kushoto ni
Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sjharif Hamad.
Waombolezaji
wakisoma dua ya kumwombea marehemu Abdallah Rehani, Baba Mzazi wa Mke
wa Waziri Mkuu, nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es sAlaam
Aprili 4, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Seif Sharif Hamad (katikati) na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika mazishi ya Baba mkwe
wake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea Jijini Dar es salaam
Aprili 4, 2015
Waombolezaji
wakizika mwili wa baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda ,
Marehemu Abdallah Rehani kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es
salaam, Aprili 4, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika mazishi ya Baba Mkwe wake ,
Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam
Aprili 4, 2015.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akishiriki katika
mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani
kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi akishiriki katika
mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani
kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Katibu
Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad Slaa akishiriki katika mazishi ya baba
mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika
kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aorili 4
Baadhi
ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali walioshirikikatika mazishi
ya Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani
yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4,
2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanziba Seif Sharif
Hamad wakitoka kwenye eneo la makaburi ya Segerea jijini Dar es slaam
baada ya mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah
Rehani Aprili 4, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mstaafu, Frederick Sumaye
na na mwenye koti jeusi katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Iddi.
Spika
wa Bunge Anne Makinda akimpa pole mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda
(kulia) ambaye alifiwa na baba yake Mzazi, Mzee Abdallah Rehani ,
Nyumbani kwa marehemu,Tabata jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015 .
Wengine pichani ni ndugu wa karibu wa Mama Pinda.
EmoticonEmoticon