JESHI LA POLISI LIKIWA NA SILAHA ZA MOTO LIMEZINGIRA NYUMBA YA GWAJIMA


AkGlMNL31quEwjijbK6hNLmBMA6Tu8lMMlKH8-vxxbuf 

Kilichoripotiwa muda si mrefu ni kuhusu nyumba ya Askofu huyo iliyopo Mbezi Salasala DAR kuzingirwa na Askari Polisi wakiwa na silaha, waliopo ndani wamegoma kufungua milango.. waumini wake nao wako pembeni wakiwa wanasali na kuimba.
Previous
Next Post »