Miili ikiondolewa eneo la tukio
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza wa pili kulia wa tatu ni Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa anayefuata ni mwenyekiti wa usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas na mkuu wa wilaya ya mufindi Mboni Mhita wakiwa eneo la tukio.
Taarifa kamili zinasema watu 42 wamefariki dunia katika ajali hii na wengine 22 kujeruhiwa ambapo watu 10 kati ya majeruhi hao wapo katika hali mbaya .
EmoticonEmoticon