BREAKING NEWS WATU WAWILI WAMEKUFA BAADA YA BASI LA FM SAFARI T179CRG KUTOKA DAR KWENDA MBEYA KUGONGANA NA LORI MAENEO YA MIKUMI

Watu wawili wamekufa katika Ajali nyingine iliyotokea muda mfupi uliopita huko mikumi kati ya basi T179CRG mali ya Fm safari linalotoka dsm kwenda mbeya na roli aaina ya Fuso. Tutaendelea kukujuza
Previous
Next Post »