MUGABE APIGA MWEREKA.



Robert Mugabe, amekuwa rais wa Zimbabwe tangu mwaka 1987, alikuwa akizungumza na wanaomuunga mkono Harare International Airport waliokuwa wakimkaribisha kutoka Ethiopia ambapo alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa AU Umoja wa nchi za Afrika.
Waandishi wa habari walikamata picha ya rais huyo mwenye miaka 90 akipiga mwereka.
Previous
Next Post »