wachezaji
wa Ghana wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja
wenyewe Equatorial Guinea 3-0 kwaiyo sasa Ghana kukutana na Ivory Coast
tarehe 8 kwenye
fainali.
Baada ya kipenga cha mwisho wenyewe wa mashindano hayo ya AFCON walikuwa
wamekubali kipigo cha magoli matatu ndipo washabiki walivyoanzisha
timbwili hili uwanjani hapo.Hali ilionekana siyo shwari toka kipindi cha
kwanza pale Ghana walivyo pewa
penati ya
mapema hii hapa ilikuwa baada ya dk 45 za kwanza washabiki wenye mizimu
ya kinyamulenge walianza kuwarushia makopo na chupa wacheza wa Ghana
walivyokuwa wakielea kwenye vyumba vya mapumzikia.Uwanjani hapo hali
haikuwa shwari kwa muda...
Uwanjani
hapo hali haikuwa shwari kwa muda wa dk 30 baada ya kipenga sha mwisho
wa.Polisi wakiwapandia washabiki jukwaani hili kuwaadabisha kutoka na
vurugu hizo uwanjani hapoChupa za maji hiyo wakirushiwa wachezaji wa
Equatorial Guinea kutoka kwa washabiki wenye jaziba baada ya timu yao
kukubali kipindo.Helicopter ikizunguka eneo la uwanja kujaribu kuzima
vurugu hizo baada ya kipenga cha mwisho Hapakutosha uwanjani hapo baada
ya wenyeji kukubali kipigo cha bao tatu kwa kibuyu kutoka kwa vijana wa
Kighana.
EmoticonEmoticon