MTOTO WA KATI YA MIEZI MINNE HIVI ATUPWA NA KUOKOTWA NA DINA MARIOUS MUNGU AKUBARIKI SANA KAZI YAKO SI BURE




 http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919112_407636222736794_353886209_n.jpg

 Leo tunalea mtoto tumemuokota mama yake kamtupa.Ameokotwa mitaa ya nyumbani kwangu kwenye majani.
Tushampa jina anaitwa Comfort sio mimi nilompa jina lakini.





http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919524_1653497888211148_462297742_n.jpg

 http://photos-f.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10932630_327594670781645_1932046470_n.jpg

 Mama wa mtoto huyu kamtupa amekesha usiku kucha kwenye majani akilia mpaka sauti imekauka.Ameng'atwa na mbu kila mahali kalikuwa kamejinyea kananuka pengine hakakuoga siku tatu.
http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10950592_1003759189653572_1721958496_n.jpg




















Baada ya kushiba usingizi maana amekesha manyasini.Huo uso ni mbu hizo.Mama ake alimuacha na kirambo cha nguo chafu na kipande cha sabuni ili watakaomuokota wafue na nguo mweeh!
Previous
Next Post »