KIBAKA ANUSURIKA KUUWAWA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MJINI KAHAMA.

KIJANA AMBAYE NI KIBAKA JINA HALIKUWEZA KUFAHAMIKA KWA MARA MOJA AKIWA HOI BAADA YA KUCHEZEA KICHAPO CHA NGUVU TOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI KATIKA ENEO LA KITUO KIDOGO CHA MABASI MJINI KAHAMA.

KULA BUTI LA USO CHALIIIII
HAPA AKITOA MAELEZO KUHUSU VITU ALIVYOKWAPUA.
Previous
Next Post »