Jinsi ya kuondoa strech marks nyumbani


Janga la kila mwanamke ni strech marks au michirizi mwilini.. wengi wetu tunayapataga miguuni mapajani mikononi na tumboni kiasi kwamba kuogelea ni shida..michirizi hii inasababishwa na ukuaji wa seli au kunenepa na kukonda kwa mwili kwa ghafla. Mama mwenye mimba hupata sana hii michirizi maana mwili wake una tengeneza seli kwa kasi sana..
Wengi tunatafuta dawa na ziko bei juu na zingine hazisaidii vile vile unajikuta unatupa pesa tu/ basi leo tuone tutajisaidiaje bila gharama kuziondoa hii michirizi.. kuna njia mbili ya kahawa na ya limao na tango.


Kahawa:
 mbegu za kahawa zilizo kaangwa kiasi robo kikombe
Hand lotion

Twanga au saga kahawa liiyo kaangwa .. 
Ukisha twanga nakupata ule unga uchanganye kwenye handlotion yako vizuuri kisha apply katika eneo latukio..
Haina side effect.. ipake mara mbili hadi tatu kwa siku.futa na kitambaa na maji vuguvugu ..mchanganyiko huu pia waweza utumia kama facial inaondoa ngozi kuzeeka au mikunjo ya ngozi

Pia usisahau kunywa maji glasi 10 kila siku angalau ..

2.juisi ya lemao na tango


Limao moja na tango kipande kidogo
Chuja limao..kisha changanya na kipande cha tango visage pamoja.
Paka eneo la tukio  kaa nayo dakika 10.kisha osha
Hii ni nzuri pia kuondoa hata madoa usoni kwa wenye ngozi za mafuta unaweza ifanya na usoni  pia.fanya hivi kila siku angalau mara mbili kwa majibu ya haraka ..

Recipe no 1-cofee

Ground ¼ cup of coffee to a find powder. Mix the coffee grounds into your favorite hand lotion. Rub this mixture for one minute onto your stretch marks three times per day. Wipe the lotion mixture off with a warm damp cloth.
Recipe no 2-Lemon Juice

Another simple ways to lessen stretch marks is to use lemon juice. Lemon juice is naturally acidic which helps heal and reduce stretch marks, skin injuries, acne, and other scars.
·         Rub fresh lemon juice gently onto the stretch marks using circular motions. Allow the lemon juice to soak into your skin for at least 10 minutes before rinsing it off with warm water.

·         Another option is to mix equal quantities of cucumber juice and lemon juice and apply the mixture on the stretch marks.
Previous
Next Post »