JERAHA LA MARTIN SKRTEL ALILOSABABISHIWA NA GIROUD. Anonymous 10:34 Anonymous Hii ndio picha aliyopost Martin Skrtel kwenye mtandao wa Instagram ikionesha nyuzi nane alizoshonwa. Hii ndio faulo aliyochezewa Martin Skrtel na mshambuliaji Olivier Giroud. Ilimchukua takribani dakika 6 Martin Skrtel kutibiwa jeraha lake. Baada ya matibabu Skrtel alirejea mzigoni na kuisawazishia timu yake ya Liverpool. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon