Nimemsikiliza Mhe Rais. Ninachoweza kusema ni kwamba maazimio yale hayakuwa ya Zitto Kabwe,
PAC, CAG au PCCB. Yalikuwa ni maamuzi ya Bunge zima. Bunge la vyama
vyote kikiwamo chama cha Rais Kikwete yaani CCM. Sisi kama Bunge tulitoa
maazimio yale kwa maridhiano, uzalendo na bila kutaka kumuonea mtu
yeyote. Suala hili sasa naliacha kwa wananchi. Bunge limefanya kazi yake
na Serikali ambayo ndiyo tulikuwa tunasubiri maamuzi yake imeamua
hivyo. Wananchi wataamua wenyewe.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon