Mshambliaji
wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Uganda,Emmanuel Okwi mwishoni mwa
juma hili alifunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Nakalega Florence.
Ndoa hiyo ilifungwa mwishoni mwa juma hili nchini Uganda na kuhudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki.
Miongoni
mwa waliohudhuria harusi hiyo ni afisa habari wa Azam FC Jaffer Idd
pamoja mtangazaji wa kituo cha Azam TV Patrick Nyembera.
Artikel Menarik Lainnya
JE UMESHAWAHI JUA SIRI YA KOVU LA CARLOS TEVEZ KAMA ULIKUWA HUJUI SOMA HAPA. Na Simon Chimbo Watu wengi walipata kuyaona maandishi yaliyopo mbele ya T-shirt y
STAR TIME MEDIA WADAHAMINI LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) Kampuni ya StarTimes Media ya
WAYNE ROONEY AONGOZA MASTAA WA SOKA KUHUDHURIA NDOA YA TOM CLEVERLEY Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley mchana wa leo alifunga pin
Frank Lampard afunga ndoa London
Baada ya uhamisho kwenda Madrid kukwama, De Gea amechukua uamuzi huu
Women's World Cup: Japan, USA on track as Africans challenge Ngozi Okobi #13 of Nigeria leads her teammates in celebrating her goal a
EmoticonEmoticon