
Je,
unamjua mnyama aitwaye Nyani? Kama humjui tembelea mbuga za wanyama au
mapori makubwa. Ila kama ni kwa ajili ya gumzo letu leo basi tafuta hata
picha yake umwangalie vizuri.
Wiki hii
Mtaalamu wa tafiti na tiba zinazohusiana na lishe Dr. John Haule ambaye
pia ni mmiliki wa kituo Kiitwacho HerbHunter kilichopo jijini Dar Es
Salaam aliweka 'mambo hadharani' kupitia mtandao bora wa habari nchini,
Global Publishers ambao ni ndugu wa gazeti hili kwa kuwaasa watanzania
na dunia kwa ujumla kupunguza matumizi ya moto katika maandalizi ya
vyakula. Akiongea ofisini kwake alithibitisha kuwa ugunduzi wa moto
duniani ndio uliopelekea afya za watu wote duniani kuwa mashakani kwani
licha ya kemikali kama chumvi, sukari na mafuta kuwemo katika list hiyo
ya vyanzo vya maradhi Dr. John alisisitiza kuwa moto ndio unaoongoza kwa
kusababisha maradhi yasiyotibika takriban yote duniani.(Martha Magessa)
Dr. John
alianza kwa kusema " Waone Nyani, wao hawaugui kama binadamu na neno
hospitali kwao ni msamiati mkubwa sana. Wao huugua maradhi ya mlipuko na
majeraha tu. Shida kubwa kwao ni kuliwa na wanyama wakali tu yaani
'predetors'. Hawaugui kwa sababu wao hawapiki chochote kiingiacho
midomoni mwao. Kifupi wao hula vyakula asili yaani 'natural state foods'
hivyo hukutana na madawa halisi yoote ambayo ndio ilikuwa hospitali na
zahanati ya bustani ya Eden ambapo Adam na Eva waliishi miaka mingi bila
kuugua. Cha ajabu, binadamu mwenye werevu kuliko viumbe wote duniani
hupika vyakula ambavyo huunguza madawa hayo yote na bahati mbaya zaidi
vyakula vingi hugeuka sumu na kumdhuru binadamu bila yeye kujijua, mfano
rahisi nit u ni kwamba 'calories' huongezeka mara nyingi sana katika
vyakula na kuwa chanzo cha ugonjwa wa kisukari na unene wa kupindukia
pia na hivyo kuufanya moto kuonekana kama muuaji mkubwa sana
asiyeonekana duniani yaani 'invisible predetor' ambaye anadhibitika
kirahisi mno kwa kula vyakula visivyopikwa."
Dr. John
alimalizia kwa kusema "Ni vigumu mno kula nafaka kama mahindi nk kama
alavyo nyani hivyo ni bora tukapunguza ulaji wa vyakula vinapikwa na
kuongeza mezani vile visivyopikwa kama vile kachumbari, matunda, juisi
za matunda halisi na saladi pia kwa asilimia 75% hadi 80% ya kila mlo
uingiao midomoni mwetu na hakika baada ya mwezi mmoja wengi wetu
tutapona maradhi mengi sana. Wapo walio taabani kwa maradhi kama vile
waliopo mawodini ambao pamoja na vyakula hivyo bado wanahitaji
"multivitamins" ambazo huharakisha uponyaji kwa kuwa zimetengenezwa
kitaalamu zaidi katika maabara zinazozingatia ubora" Alimalizia Dr. John
ambaye ni mtaalamu wa tiba za lishe yaani Food Therapy aliyeidhishwa na
Kampuni ya kutengeneza virutubisho Afrika Kusini iitwayo Nativa kupitia
Afya Distributors ya Jijini Dar Es Salaam.
Hizi ni
taarifa njema sana kwa yeyote Duniani. Jitahidi kufikisha ujumbe huu kwa
watu wengi zaidi uwezavyo ili tuokoe afya za Watanzania na Dunia kwa
ujumla kwa kuzingatia kuwa gharama za matangazo yatakayopelekea wagonjwa
kusikia hii habari yanagharimu pesa nyingi na kituo cha HerbHunter
pekee hakiwezi kumudu gharama za matangazo hayo hasa ikizingatiwa kuwa
matangazo ya magazetini na redio ndio yenye kuwafikia watu wengi zaidi
kwani tafiti zinaonyesha kuwa ni asilimia kama 20% tu ya watu duniani
hupata taarifa kupitia mitandaoni. Kwa wenye maradhi kama Presha,
Kisukari na vidonda vya tumbo ningewaomba wafike kuniona haraka kwa
sababu tayari dawa imepatikana na wengi tu tayari wameshanufaika.
Unaweza kulisoma tangazo la tiba hii katika ukurasa wa LOKOPROMO tangazo
la (HERBHUNTER) katika gazeti la NIPASHE la wiki hii yote kwa uhakika
zaidi. Ukiwa na swali, hoja, maoni au ushauri basi usisite kutupigia kwa
namba 0768 215 956 na karibu sana utembelee mtandao wetu wa Global
Publishers.
John Haule
0768 215 956
EmoticonEmoticon