UTAFANIKIWAJE WAKATI UNAOGOPA KUJARIBU




Na Saimeni Mgalula

Unatama kuishi au uwe kama nani ?Utasikia natamani kuishi maisha mazuri ,bora lakini ni jinsi gani ,hivi na vile ndivyonikavyoishi.Yule anayoyazungumzia hayo je anayafanya ,mara nyingi tunatamani kuishi maisha yaliyobora kama kuwa na kazi nzuri lakini tunaogopa kujaribu songa sasa mbele zaidi.

Nikwamba unapozungumza na watu wote duniani kila mtu atakwambia kuwa ninataka kuwa na maisha mazur ,huenda ni jambo lisilowezekana kila mtu kusema anataka maisha ya sida na kama atakuwepo basi huenda mwawasiliano kwenye ubongo wake yakawa yameingiliwa na shida na shida kusema kuwa ni watu ambao wanaitaji msahada maalumu.

Ngugu yangu Msomaji ni kwamba unaweza kulinga unastashahada,unashahada na elimu nyingine nyngi bado bado utaendelea kuchapwa bakola na maisha kama hautakuwa makini kusoma sana amakidogo ,kuwa na marafiki waliofanikiwa amawasiofanikiwa  ,kwenda nje ya nchi ama au kuzaliwa katika familia tajiri au tajiri bado si tiketi ya kukufanya uwe na maisha bora .

Msingi wa kufanikiwa ni kusubutu kufanya jambo Fulani kwa mfano kufungua miradi na mambo mengine kama hayo.

Msomaji wa hii makala kunawatu kwa mfano unaweza kuona anakata tama eti kisa amezaliwa katika familia maskini kitu ambacho sio sahihi.

Kuwa na maisha bora ni kufanya kazi kwa bidii na  kwa malengo zaidi usiishi tuu ilimradi siku zinaenda mbele lahaaa ashaaa! Kwa chochote unachokifanya kifanye kwa kutafakari na kuangalia faida na hasara yake.

Msomaji yapo mengi sana ambayoyamewezwa kuzungumzwa ambayo yanaweza kukusababishia wewe kusonga mbele kimaisha lakini bila kusahau kuwa inabidi kuwa makini na wanadamu ambao wanatuzunguka lakini pia inabidi tubuni miradi mingi ilituwe na maendelea .

Kwani  kuna mwingine hataukimwangalia sura yake anaonekana wazi kuwa hana furaha unapomwambia kuwa mambo yangu yanakwenda safi kwasababu watu wengi wanapendakusikia kuwa unaishi maisha ya shida ndio wengi walivyo .

Mbaya zaidi siku hizi hata  badala ya wazazi wamekuwa wabaya hata kwa watoto wao wengine kwamfano hajui kwa vipi unaendesha gari unaishi nyumba nzuri badala yake anakuja kulalamikiwa mbona huwasaidii.


Kitu ambacho nataka kusisitiza katika makala hii ni kuwa mafanikio yako yanatokana na akili yako  au ulionayo maana wengine wamekuwa wakisema kuwa ugumu wa maisha ndo kipimo chako cha akili .

Lakini katika jamii tunakoishi utasikia kuwa mimi maisha ni magumu ,mimi sijui nifanyaje lakini nikwambiae kuwa kipimo cha maisha unacho hapo msomaji wangu .

Kwaiyo ni vizuri ukaka na kutathimini kwamba mimi natamani kuishi maisha yangu ni yapelekaje au niishi vipi  au maisha yangu yakae katika maisha gani ?kumbe kipimo cha maisha ambayo unataka  kuishi unacho wewe mwenyewe pia Wengine wanasema kuwa uoga wako ndo umaskini wako yawezekana hapo ulipo kaa unawasiwasi ,unauoga ,unawaza ,unatathimini wakati fimbo unayo wewe mwenyewe.
Previous
Next Post »