MABADILIKO YA ANWANI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


220px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg
Wizara ya mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kuwatangazia wananchi na wadau wote kuwa anwani ya Wizara imebadilika na sasa inaandikwa kama ifuatavyo:
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
9 Barabara ya Ohio,
S.L.P 9223,
11483 DAR ES SALAAM.
Imetolewa na:
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Previous
Next Post »